I am disappointed with performance today imekua kama kawaida yetu pale tunapokua kwenye position ya grab top four position we just don't deliver....nafikiri imeshaandikwa tayari we will finish below top four but above Arsenal
Mourihno kila cku anasingizia uchovu,...ila man united,tunawachezaji wa kawaida sana asikwambie mtu..Rooney,Jones,Smalling,Martial,Darmian,Lingard,.
hawa wote waondeke msimu ujao tutafute wapiga kazi..
Mourhnio ampigia mahesabu Ozil na tusishau walikuwa wote Real Madrid. Kama Mourhnio akifanikwa mathalani kuwasajili wote wawili Ozil na Sanchez kutoka Arsenal muziki wetu hakuna wa kuacha kuucheza na kujisalimisha