Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Nafikiri hili ni suluhisho la matatizo yanayotukabili..Mourhnio huenda akajaribu kumsajili Aguero kutoka ManCity kwa kitita cha £55mill. Hii ni baada ya kubainika Ibra hatarudia kiwango chake baada ya kuumia goti huku Guardiola kumpanga Jesus zaidi nafasi ya Aguero.
View attachment 505664
Aisee pamoja na uchambuzi wangu kuhusu soka la EPL na analysis za kutosha kutoka kwa wachambuzi Magwiji ndani ya EPL wote tulimpa nafasi kubwa Tot kushinda,hii ni kutokana na aina ya kikosi,hali ya ligi ilipo sasa na nafasi ya Tot Katika kuwania Kombe,ila ndio hivyo West ham akaibuka kwa Ushindi Mwembamba.EPL inaendelea kutotabirika kwani nani jana alijua Spurs watafungwa na West Ham?
Nawatoa Liverpool nje ya nne bora na kuziingiza Man City na Man UnitedNafasi ya tatu na nne za EPL hazitabiriki kabisa! Tofauti ya pointi na idadi ya mechi walizozicheza ziaacha ushindani kuwa mkali huku Chelsea na Spurs tayari wamejaza nafasi mbili za mwanzo.
View attachment 505106
Tatizo ni Guardiola atakubali kujidhoofisha? Aguero yuko tayari kuja ila Guardiola nadhani ataweka mikwara mingi tu. Hebu tusubiri itakuwajeNafikiri hili ni suluhisho la matatizo yanayotukabili..
Hesabu za Mou katika hizi game za Mwisho zinaiweka man U katika nafasi ngumu ya kuingia top 4,tunatakiwa kucheza fainal ya Championship huku tukitakiwa kuingia top 4,afu hapo hapo tunakiwa kucheza na Man City,Chelsea,Asernal.Top four finish inazidi kuota mbawa baada ya ManCity kumpiga goli tano bila majibu Crystal Palace.
Sare au kufungwa na Arsenal itatuwekea mazingira magumu mno.
Kesho vijana wapaswa kwenda na nia ya ushindi
Humjui Mou,huwa anasema hivyo lakini his target ni kuwin Vyote UEFA na top 4 on EPLKesho mou kashasema anachezesha vijana wake sababu top four ishakua ngumu hapa tulipobakiza ni europa tu. Sioni uwezekano wa top four kabisa tukipigwa na celta ndo basi tena msimu ujao europa tena.
sio mwisho wa Zlatan na Rooney,Martial bado ana nafasi kwa Mou n now amekubali kuweka kando matatizo yake so unaona kiwango chake,bado Man U inamuhitaji MartialNionavyo jitihada za Mourhnio kumsajili striker ni mwisho wa Martial
Martial Na Lingard Ndo Mwisho Wao Hawana Sifa Zakuchezea Manchester Unitedsio mwisho wa Zlatan na Rooney,Martial bado ana nafasi kwa Mou n now amekubali kuweka kando matatizo yake so unaona kiwango chake,bado Man U inamuhitaji Martial
Hapana bado tunawahitaji ni vijana Wenye vipaji na ari ya kujituma,nadhani ni muda wa kuwalea,dunia sasa haina wachezaji so tunatakiwa kuwaandaaMartial Na Lingard Ndo Mwisho Wao Hawana Sifa Zakuchezea Manchester United
Lingard bado yupo sanaMartial Na Lingard Ndo Mwisho Wao Hawana Sifa Zakuchezea Manchester United
Tukiwatumia Ubingwa Utakuwa Mgumu Sana,kumbuka Kwa Dunia Yasasa Timu Inatakiwa Iwe Na Mawinga Ambao Wanajua KuscoreHapana bado tunawahitaji ni vijana Wenye vipaji na ari ya kujituma,nadhani ni muda wa kuwalea,dunia sasa haina wachezaji so tunatakiwa kuwaandaa