Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Pana jambo huwa linanivutia sana Rashford akiwa faulo khalafu kukatokea kama vurugu hivi basi kama lingerd yupo uwanjani huenda pale na kutoa kibesi pamoja na kuwasukuma jamaa wanao mghasi Rashford.