Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu samahan mbona nikifungua app ya modbro kucheki game online inaniandikia no result found ila kipind cha nyuma nilikuwa naangalia game vizur matatzo haya yameeanza toka game ilopita
1. Labda kwa kuwa unafungua 'modbro' badala ya 'mobdro'.

2. Ikigoma hiyo tumia nyingine. Mimi naangalia kupitia 'totalsportek.com' haijawahi kuniangusha na leo connection iko vizuri sana kuliko hata games za jana na juzi.

3. Ikigoma kabisa tafuta kibanda umiza kilicho karibu yako.
 
napingana na ww..man u hata robo kwa huu mpira huwez mfananisha na juve...hawa hawana game plan..hakuna talking pass..wanajiendea na kukipigia pigia tu..ni ngumj kwa mpira huu kuwafunga vigo.....
Ungeniuliza kivipi? Mbona unanivamia?
 
Back
Top Bottom