Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Drogba na Obi wanaliangalia kwa uchungu sana goli hili la Vidic.
 
HAHAHAHAA hilo Goli lilikuwa kama Msumari unagongewa kwenye JENEZA !! yaani R.I.P Chelsea!
 
Park kwenye match ngumu achana naye kabisa, jana alicheza vizuri sana akisaidiwa na class master michael carrick
 

Umejisikiaje jana! mie nilirukaruka kwa furaha na bado
 
Baada ya David Luiz kutua Darajani,mashabiki wa chelsea waliongea sana kuwa sasa wamepata beki bora,kilicho tokea jana nimeamini kweli beki bora,not me not me haya ni maneno ambayo alikuwa anayasema baada ya kocha carlo kumlaumu.chicharitoooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kikosi cha jana kama kipengwa vile last week tungekuwa tumketangaza ubingwa mapema...viva Man u. let's unite on 28th
 
A natural striker, yaani its a joke kuwa only 7M kijana kavutwa na babu. Ukimfananisha na yule legelege Tores, 50M ni kichekesho. Yaani bora hata wangemnunua Samatta kwa 1M, na nyingine 0.2M wakamchukua Nsajigwa 🙂
 
A natural striker, yaani its a joke kuwa only 7M kijana kavutwa na babu. Ukimfananisha na yule legelege Tores, 50M ni kichekesho. Yaani bora hata wangemnunua Samatta kwa 1M, na nyingine 0.2M wakamchukua Nsajigwa 🙂

Toress?
 
Habari wanaJF,Nimejiunga rasmi ndani ya JF dakika 72 zilizopita, Nawapa hongera wana Man U kwa ushindi mzuri wajana FA Premier League Champion imetua Old Trafford Hilo halina ubishi. Nawaomba wenzetu wa Arsenal,Liverpool,Chersea,Man City watuunge mkono pia tarehe 28 mei pale Wembley na mtabalikiwa sana kwa kufanya hivyo.

 
Park anaitwa Three Lungs jamaa sijui anakula nini.
 
Ogah, umenichekesha mkuu!..lol, what a red and beautiful monday!..no more blue mondays🙂)

Yeah........ManU Vs Liverpool ndio kama Yanga Vs Simba hapa Nyumbani au Gor Mahia Vs AFC Leopard kule kwa majirani.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…