Ni wa kupunguza kwenye squad, Wazza hawezi tena mikiki kama enzi zile. He should go while fans like himRooney, Fellaini ni kati ya watu musimu huu kwa mishahara wanayovuta ni vyema wakajipima
hebu ngoja nijaribu kumvumilia kidogo....Kwanini bosi? Maana team ina majeruhi sasa afanyaje??
Mzee naona uliapata majeruhi...
Hatuna teamMsishangae, hatuna timu ya ushindani, kama mulidhani mutaingia top 4, mlikua mnajidanganya
Hahaha mambo ya uwanjani.Mzee naona uliapata majeruhi...
Pole...lakini sasa tukubali team yetu ina wachezaji wa kawaida sanaHahaha mambo ya uwanjani.
Ni kweli. Ila wamejitahidi Kwa kiasi chao. Usajili wa nguvu unahitajika sanaPole...lakini sasa tukubali team yetu ina wachezaji wa kawaida sana
Pogba na Mata wasipocheza Alhamis Europa...tunapigwa.Ni kweli. Ila wamejitahidi Kwa kiasi chao. Usajili wa nguvu unahitajika sana
Itabidi waanze tu. Beki pia tatizoPogba na Mata wasipocheza Alhamis Europa...tunapigwa.