kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,678
- 12,094
Usimgeuke mapema hivoNaanza kutomwelewa Morinyo
Usimgeuke mapema hivoNaanza kutomwelewa Morinyo
Pengine wachezaji wameshaathirika kisaikolojoa. Yaani hatukuonyesha njaa hadi Swans waliposawazishaManutd uwanja wa nyumbani ni butu sana sijui huwaogopa mashabiki?
Kwanini bosi? Maana team ina majeruhi sasa afanyaje??Naanza kutomwelewa Morinyo
Ha ha ha ha ha wanaboa sanaHivi kwanini Man U aaaaaah mnaboaa bhanaaaaa
Umefurahi sasa mkuu? Maana ulikuja unalia lia sana.kabang. Two points dropped
Kikosi kisukwe upya kuna mizigo mingi. Ukimwangalia Jones au Smalling musimu mzima ni kuuguza majeraha. Wachezaji wengi hawana sifa ya kuichezea hii timu.Pengine wachezaji wameshaathirika kisaikolojoa. Yaani hatukuonyesha njaa hadi Swans waliposawazisha
Wachezaji tuliokuwa nao kwa sasa hawajui umuhimu wa mechi wanacheza tuKikosi kisukwe upya kuna mizigo mingi. Ukimwangalia Jones au Smalling musimu mzima ni kuuguza majeraha. Wachezaji wengi hawana sifa ya kuichezea hii timu.
Sure, world class and match fit players wanahitajika, sio kila siku tunauguzaKikosi kisukwe upya kuna mizigo mingi. Ukimwangalia Jones au Smalling musimu mzima ni kuuguza majeraha. Wachezaji wengi hawana sifa ya kuichezea hii timu.