Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maskini i cant believe its over....mashabiki wamenywea hawana furaha
 
Damn it, another unnecessary draw at OT. Let's focus on europa. Hii EPL wamalizie hata squad ya U17. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi najiuliza rooney atakua anajiskiaje kwa hii droo ya leo!! Hata kama ni bahati mbaya bado ukweli utabaki yeye ndiye kasababisha freekick!!

Daah na baada ya goli akatolewa hapo hapo !

Ila yule mpiga freekick wao yuko njema kwa kweli!! De gea ametulia akijua mpira unaenda nje ghafla anashangaa watu wanashangilia!!
 
Back
Top Bottom