Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Habar zinasema zlatan ibrahimovich amekataa kulipwa paundi 250000 ambacho kilikuwa ni mshahara wake kwa wik kwa takribani miez tisa atakayokaa nje ya uwanja kwani anasema sivizur kupokea mshahara ingali hachezi tena paka mwakan
Classy ibra
 
Damushin and Erick Bailly are now facebok friends.
GettyImages-674074666.jpg

mashabiki wanamfananisha na nemanja vidic ila mimi nahisi kitu pekee walichofanana ni ujasiri wao wa kupambana na adui.
bailly ni mtulivu sana na ana skills sifa ambayo uingereza nzima niliiona kwa rio ferdinand.
msimu ujao chini ya jose mourinho kwenye safu ya ulinzi tunahitaji kuongeza shetani mmoja kama kalidou koulibaly.

nashindwa kuelewa kwa nini trump anahangaika kujenga ukuta kule Mexico wakati erick bailly yupo.
 
Attachments

  • upload_2017-4-28_15-40-13.jpeg
    upload_2017-4-28_15-40-13.jpeg
    9.1 KB · Views: 43
Damushin and Erick Bailly are now facebok friends.
GettyImages-674074666.jpg

mashabiki wanamfananisha na nemanja vidic ila mimi nahisi kitu pekee walichofanana ni ujasiri wao wa kupambana na adui.
bailly ni mtulivu sana na ana skills sifa ambayo uingereza nzima niliiona kwa rio ferdinand.
msimu ujao chini ya jose mourinho kwenye safu ya ulinzi tunahitaji kuongeza shetani mmoja kama kalidou koulibaly.

nashindwa kuelewa kwa nini trump anahangaika kujenga ukuta kule Mexico wakati erick bailly yupo.
Jana nilimuelewa sana, ila kwa nemamja suburi kwanza
 
Damushin and Erick Bailly are now facebok friends.
GettyImages-674074666.jpg

mashabiki wanamfananisha na nemanja vidic ila mimi nahisi kitu pekee walichofanana ni ujasiri wao wa kupambana na adui.
bailly ni mtulivu sana na ana skills sifa ambayo uingereza nzima niliiona kwa rio ferdinand.
msimu ujao chini ya jose mourinho kwenye safu ya ulinzi tunahitaji kuongeza shetani mmoja kama kalidou koulibaly.

nashindwa kuelewa kwa nini trump anahangaika kujenga ukuta kule Mexico wakati erick bailly yupo.
Teh! Teh! Teh! Bailly ndiyo habari ya mjini
 
Back
Top Bottom