Ah ah ah ah ah nitafanya ivyoUsisahau jumamosi ukatubu kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mayoooooo...ebu refa maliza banaaaaa
Jamaa aliingia na mahesabu ya draw tuKiukweli hatukuwa vizuri leo ila bora tumepata point maana ilikuwa hamna namna.
Yaani afadhali nilipoona red ya Fella nusura nijinyeee[emoji23] [emoji23] .....leo tulilemewa kwa kweli lakini heri nusu shari kuliko shari kamili,hongereni vijana japo haikuwa nzuri mmejitahid.... GGMUNi shida leo mama kiruuuu
Ndiyo hivyo game haikutukaaBailly my man of the match
Fellain Leo hovyo mistake zakijinga nasema fella huonekana mzuri sana pale anapokuwa pogba na herera Leo tunaona umuhimu was pogba kwenye kupandisha tim kuhold mpira pengo da ila afadhali draw fella kaniboa sana
Leo ilikuwa ngumu aiseee!! Tuna shot on target moja aibuuuuuu!!! Anyway siku hazilingani.Bora ulale maana...