everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Jumapili Naenda Kanisan
na ole wako usiende!! Utimize nadhiri yako usije tunyima magoli bure
Jumapili Naenda Kanisan
na ole wako usiende!! Utimize nadhiri yako usije tunyima magoli bure
Lazma athee niende![]()
![]()
na ole wako usiende!! Utimize nadhiri yako usije tunyima magoli bure
![]()
Mi everlenk sijawezaa kukaa kufaa na presha ili nn draw nashukurYaani afadhali nilipoona red ya Fella nusura nijinyeee![]()
.....leo tulilemewa kwa kweli lakini heri nusu shari kuliko shari kamili,hongereni vijana japo haikuwa nzuri mmejitahid.... GGMU
Weee leo hatuna mchawi game was tough to us!!Wakuu ila leo naona kama Refa katuminya kiasi, au ni mawenge yangu tu., all in all congrats to all Man utd family.
Kwa game ya leo hata mimi moyo mweupe napokea matokeo,kwa kweli tulikuwa doro sana!!Mi everlenk sijawezaa kukaa kufaa na presha ili nn draw nashukur
Ah ah ah ah ah nitafanya ivyo

65kWeee leo hatuna mchawi game was tough to us!!
Hujalala mkuuGame ya tatu mfululizo kwenye ligi tunapata clean sheet.
Point 1 sio mbaya, vijana wamepambana.
GGMU.
Nipo doria mkuuHujalala mkuu
Kikosi kilichoanza na Chelsea ni kipi?Tumepata matokeo yaliyolingana na malengo Yetu na mipango Yetu leo uwanjani,Mou leo hakutaka tucheze mpira,hakutaka tushambulie,game plan ni Ushindi kama zitatokea chance au dro na tumefanikiwa katika hili.
Ila Mou angeanza na kikosi kama tulichocheza na Chelsea,hawa City ni wazi to mno na wamechoka
Kikosi kilichoanza na Chelsea ni kipi?
Felain alionekana dhahiri pumzi ilikata. Point Moja sio haba.alivyotolewa Fellain Dah nilistuka na pressure juu. bora droo
nafikiri ya nne hiiGame ya tatu mfululizo kwenye ligi tunapata clean sheet.
Point 1 sio mbaya, vijana wamepambana.
GGMU.
Fellaini season hii kajitahidi, hata mimi simfagilii ila kajitahidi.Fellain sio kipenzi cha man u,ila game ijayo,mtamkumbuka watani zang