Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rekodi nyingine musimu huu ni ya doroo tisa za nunge nunge duh! Tunahitaji doroo moja tu kabla musimu haujaisha kuvunja rekodi ya Leeds na Sheffield Wednesday ya nunge tisa kwa musimu mmoja wa EPL!

Screenshot_2017-04-29-08-15-39.png
 
Vyombo vya habari vya Spain vinasambaza uongo kuwa De Gea kaomba kuondoka.

David De Gea has not asked to leave Manchester United. [James Ducker] [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Iko wazi hawezi kujidhalilisha hivyo. Wale ni kuuza gazeti na pili kuchokoza chokoza ili ukweli ujulikane. De Gea is highest paid goal keeper in the world sijui Real Madrid watauweza mshahara wake au wanadhani kodi ndogo ya Spain ikilinganishwa na UK inatosha kusawazisha tofauti za mshahara?
 
Madrid hawashindwi kitu. Hata mara mbili ya sasa watampa.
 
Historia ya Manutd kutofungwa kwenye EPL kwa mfululizo rekodi ni mechi 29 na Mourhnio tayari kafikisha mechi 24 kabakiza mechi 5 tu na ikumbukwe huu ni musimu wake wa kwanza.

View attachment 502453
Siyo mbaya kwa kuanzia, ila tukiangalia position kwenye ligi, inatufundisha madhaifu yetu ya kutobadilisha droo kuwa ushindi, tulitakiwa at least tushindane na Tottenham, maana ndio timu zilizofungwa mechi chache. Naamini msimu ujao tutakuja tofauti
 
De gea's boyhood club yake ni A.madrid, he was there before, soon baada ya droo ya QF ya uefa kutoka na real madrid kupangwa na A.Madrid zile rumors za de gea to madrid zikaanza upya, and guess who started those Bullshits??? MARCA the mouthpiece of Real Madrid,

Just one week before their match vs A madrid wamekuja na utumbo wao kwamba he asked to leave, and some utd fans buy this rumours.
 
Back
Top Bottom