Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Tena
Mkuu matunda gani maana hata malimao ni matundaManCity watafungwa naona kabisa mbinu za Mourhnio zinaanza kuzaa matunda
Pengo la Pogba kubwa...hamna mtu wa kukaa na mpira pale kati. Tena tunabahati Silva hayupo leo.
Kivipi mkuu??ManCity watafungwa naona kabisa mbinu za Mourhnio zinaanza kuzaa matunda
tatizo sio kuwepo kwa Pogba,tatizo ni mfumo,hayo ndio maelekezo waliyopewa na Kocha