Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Lingard na Rooney wanapasha misuli
Pogba alilikuwa anahusika sana pengo lake liko wazi hakuna wa kupandisha mashambuliziHakuna cha mfumo,Mou aweze kuruhusu timu irudishwe mpaka kwenye mstari wa mwisho.
Nafikiri bila kufanya sub au mchezaji wa city kulimwa nyekundu, watatusumbua sana.Bila kuwashambulia ManCity watasumbua sana