Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wapo vizuri na ni mfumo ambao Mou anataka leo tucheze na ndio mana unamuona he is happy with the game, anawamaliza kipindi cha pili now ni 4 33 ila kipindi cha pili tunaweza kucheza 4 4 2 kwa kumuingiza lingard.

Mikh leo hayupo uwanjani kabisa,na Fellain anapoteza sana Mipira kirahisi.

Rashford naona na yeye leo kapewa mtu atembee naye kama ulivyokuwa kwa Herera na Hazard.
Kweli mkuu mikhy leo hayupo katika form nzuri au mfumo leo umemfanya awe hivyo?
 
Siku ya Chelsea tulicheza lakini leo mkakati sijaujua hata chembe
kuzuia point moja kwa maana ya Droo,lakini wakikaa vibaya tunawapiga,ni game Tactics kumbuka Man City yupo nyumbani na ametoka kufungwa game Karibia mbili so Mou amejihashari lakini sasa hana cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom