MbappeGriezman atafaa sana mkuu
Mourinho alifanya makosa kumchezesha Zlatan kila mechi bila kumpumzisha ukizingatia umri wake ni mkubwa,Zlatan amechoka ukiangalia body language yake unamuona amechoka.Angalia Carrick licha ya umri mkubwa anacheza vizuri sababu anapumzishwa baadhi ya mechiZlatan imetosha sasa inabidi tu aondoke,kadri siku zinavyoenda ndo anavyozidi kuwa mzito,hana kasi kabisa,na ndo anayepooza mashambuli,na hakika pia angeanza gemu ya chelsea tusingekuwa kwenye kiwango kile.Anamiss chansi nyingi sana na hilo sio jana tu,toka mwanzo wa msimu.Goli alizofunga sio sababu,ila hakika msimu ujao tunatakiwa kuwa na straika mwingine mwenye uwezo mkubwa na kasi ili kuimarisha kikosi chetu..
Which false hope? Niko nusu fainali unaniambia false hope wacha masihara bana!! mie nakaza mwendo tu ili ndoto yangu iwe kweli......... sio utani nakaona kakombe kengine ka panyaaaaa kaleeeeee!!! nyie hata ka sisimizi kako wapi?Keep Dreaming for Your false hope.....
asingefurukuta kamwe maana hapo kwa vigo tu jasho lilimtokaCelta vigo v Man Utd
Ajax v Lyon
Duh, tulikuwa tunamuona Samatta akipashana msuli na Rojo pale OT.
hawa jamaa ni askari wa uweli
Hawa wavuta ganja wawili ni balaa....
a very tricky draw
ukweli mtupu mkuu huyu jamaa wakati mwingine anaudhi sana yani akikosa au kunyanganywa mpira hata hakimbii kukaba mzito sawa tunajua umri wake ila anaigharimu timu yani Man U hatukutakiwa kuwa nafasi ya tano tulikuwa tunaongoza ligi au wa pili ukiangalia nature ya game tulizotoka draw OT. Game 22 bila kufungwa bado hatuna uhakika sana wa top four. Tuna game man c, Arsenal na Totenham.Zlatan imetosha sasa inabidi tu aondoke,kadri siku zinavyoenda ndo anavyozidi kuwa mzito,hana kasi kabisa,na ndo anayepooza mashambuli,na hakika pia angeanza gemu ya chelsea tusingekuwa kwenye kiwango kile.Anamiss chansi nyingi sana na hilo sio jana tu,toka mwanzo wa msimu.Goli alizofunga sio sababu,ila hakika msimu ujao tunatakiwa kuwa na straika mwingine mwenye uwezo mkubwa na kasi ili kuimarisha kikosi chetu..
Good!! Ni kung'ang'ana tu mpaka kieleweke....... haya wale wachambuzi wa soka waleteni Celta vigo tuwajue kwa kina.... all the best my lovely team "The United"..... GGMU...... ooh!! GOD LET THIS GLORY OF EUROPA COME TO US.
Hahahahahahahaa wewe dada unanifurahisha sanaNipo zangu napumzika naangalia highlight reply ya Man United na Chelsea yaani jamani acha tu ilikuwa raha sana ilikuwa bonge la match!!! natamani hata Dstv wairudie tena
Duh wahispaniola tenaBreaking:
Tutawatoa tu hao.Duh wahispaniola tena
Kitu kizuri tutamalizia homeTutawatoa tu hao.