Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Perfect performance Manure!..:dance::dance::dance:
Perfect lips!!
Hongera kwa ushindi, naona mambo safi sio.
Perfect performance Manure!..:dance::dance::dance:
BJ & Co Hongereni sana Wakuu. Mnastahili kuutwaa tena ubingwa wa EPL. Timu yenu inajituma sana uwanjani na wanacheza kwa ari kubwa sana hivyo pamoja na kuwa mara nyingi siwafagilii lakini hakuna ubaya wowote kuwapongeza kwa ushindi mkubwa leo wa mara ya tatu mfululizo dhidi ya Chelsea.
Perfect lips!!
Perfect Peasant🙂:smiling::smiling:
Pole kamanda...imetoka hiyo!!
Watani wetu wote ahsanteni kwa "support" mliyotupa kwenye hii mechi.. Personally hii mechi kwangu ilikuwa muhimu sana kuliko ata hiyo inayokuja ya Barcelona.. point moja and we can say "We knocked them off their F----n perch" but for now ngoja tusherekee ushindi the worst Man Utd team is proving all the doubters wrong.