Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli... huwa anajifunza makosa sana.
 
Ahahahaha ata mim nataman tukishajihakikshia nafasi ya UEFA..hyoo game na tot tuuze tu ahahahaha
UEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuu
 
UEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuu
Ahahaha mpira mahesabu boss..unakumbuka team ambayo sir alex alichukua nayo ubingwa wakat anastaafu ile ilikuwa mbovu zaid ya hii..subili hutoamin macho yako..pia kumbuka tuna option mbili za kuingia UEFA

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mna option moja tu Europa ...huku kwingine nafasi zimejaa, na Europa kazi bado mnayo.
 
anacheza kama pirlo ila ndio full kukosea
Watakuambia kapiga pasi nyingi kuliko mchezaji wowote yule, ukirudi kuangalia pasi zenyewe ni back to back tena zero distance, au pasi za nyuma, kama mpira ni pasi nyingi hata zisizokua na mipango leo arsenal angekua mbali kweli, kwa miaka mingi ndo bingwa wa kupiga pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…