Ukiwa kocha unapaswa kuwa na wachezaji wa aina tofauti kuna baadhi ya mechi hawa wachezaji msiowapenda Young,Fellaini na Lingard wanapaswa kucheza na ndio wanaiokoa timu.Ukiwa kocha huwezi kutumia approach moja kwenye game against Arsenal ukaitumia against Sunderland ukaitumia against Chelsea lazima uwe flexible na uwe na wachezaji wanafit kwenye mifumo tofauti na cha msingi ni kuwa kocha anaangalia,workrate za mchezaji anapowapa nafasi. Hakuna aliyetegemea kuwa Fabregas na Willian watapigwa benchi na Conte,Carlo Ancelotti anampiga benchi Tomas Muller Zidane anawapiga benchi Isco na James RodriguezNi man united fan bt hiyo iko wazi big fella hana spd mkuu sema leo no one expected kilichotokea kazi iliyofanywa na kila mchezaji ni best performance nadhan hazard na kante wake watampa heshima yake herrera we done today. Now we are loking towards next game v anderlecht pale OT [HASHTAG]#GGMUFC[/HASHTAG]
Herera ndio man of the Match,moja kutimiza majukumu yake vema,lakini kusaidia Ushindi kwa kutoa assist na pia kufunga,ila pia amezuia or a me block mashambulizi mawili kwa upande wa Chelsea,alitulia leoKwangu mimi man of the match ni FELLAIN
Bado nina maswali mengi juu ya Pogba,ameridhika kwa pesa aliyonunuliwa,ameridhika kuwa mfalme pale old T,lakini mashabiki tunahitaji kumuona Pogba yule wa Juve sio huyu anayedunda uwanjani,pamoja na Ushindi wa leo bado ukitaja wachezaji watano walioperform hayupo katika tano bora
Hata mm naona Herrera amefanya kazi kubwa sana, kwa maoni yangu ningempa highest points za man of the match. Lkn kwa ujumla team imecheza vizuri kwa umojaAnder Herrera pocketed Hazard and dominated Kante at the same time. Name a midfielder who can do both, infact, name a team that can do both.
Hakuzuia mpira kwa mkono mpira ulifata mkono na wakati huo mkono ulikuwa kwenye movement lakin ghafla akaufcha ule mkono ko ikawa 50 50 hata hivyo tufanye 1-0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli lakini kilikuwa Kitendo cha haraka mno so kwa refa ilikuwa ngumu kutafsiri kwa speed ile katika akili yake,aaaah aaaah no on shoot on goal kwa Chelsea kwa mara ya kwanza
Ni kutokana na aina ya timu tuliyocheza nayo,kumbuka Chelsea Wana pressure kubwa kutokana na kukaribia kuchukua Ubingwa so waliingia na pressure kubwa sana,lakini Mou aliwasoma vema Chelsea leo,that y akapanga kikosi kilichocheza, nadhani hata Conte hakuamini alivyokiona.mpaka imejiuliza tulikuwa wap kucheza kama hivi mechi 5 tu zaid leo tungekuwa mbali
but the team was fantastic
Hakika mkuu uko ahihi....Ukiwa kocha unapaswa kuwa na wachezaji wa aina tofauti kuna baadhi ya mechi hawa wachezaji msiowapenda Young,Fellaini na Lingard wanapaswa kucheza na ndio wanaiokoa timu.Ukiwa kocha huwezi kutumia approach moja kwenye game against Arsenal ukaitumia against Sunderland ukaitumia against Chelsea lazima uwe flexible na uwe na wachezaji wanafit kwenye mifumo tofauti na cha msingi ni kuwa kocha anaangalia,workrate za mchezaji anapowapa nafasi. Hakuna aliyetegemea kuwa Fabregas na Willian watapigwa benchi na Conte,Carlo Ancelotti anampiga benchi Tomas Muller Zidane anawapiga benchi Isco na James Rodriguez
Umeongea point ya msingi sana!!! Baada ya herera kucheza man to man na hazard obvious kulikua loop hole tayari na pogba ndio ilikua kazi yake kuiziba wakisaidiana na fellain!! Sasa wabongo hatuelewi..na hatujui kuwa serie A sio epl!! Na kocha wa juve sio sawa na mou katika technical aspect!! Leo timu imecheza kwa uzuri kabisa!!Ahahaha Pogba kapiga pasi 61 hakuna mchezaji uwanjani aliefikisha pasi 50,Pogba kapiga pasi 19 upande wa wapinzani hakuna mchezaji aliemshinda. Kazi aliyopewa leo ni kuhakikisha mabeki wako salama uku Herrera akihakikisha Hazard hafurukuti. Sio lazima Pogba afunge au assists ndio uone kacheza vizuri.
Umeongea point ya msingi sana!!! Baada ya herera kucheza man to man na hazard obvious kulikua loop hole tayari na pogba ndio ilikua kazi yake kuiziba wakisaidiana na fellain!! Sasa wabongo hatuelewi..na hatujui kuwa serie A sio epl!! Na kocha wa juve sio sawa na mou katika technical aspect!! Leo timu imecheza kwa uzuri kabisa!!
Mkuu big fella hakupangwa kumzuia hazard, hio kazi ilikuwa ya Herrera. Mwingine. Aliepewa man to man ni Daemian on Pedro. Na hao wote walikuwa neutralized.Ni man united fan bt hiyo iko wazi big fella hana spd mkuu sema leo no one expected kilichotokea kazi iliyofanywa na kila mchezaji ni best performance nadhan hazard na kante wake watampa heshima yake herrera we done today. Now we are loking foward kwa next game v anderlecht pale OT [HASHTAG]#GGMUFC[/HASHTAG]