Mechi ya FA cup kabla ya Herrera kutolewa Chelsea walishatulizwa.Sifa moja ya Mourinho ukimfunga mara ya kwanza next game anakuwa amejifunza so inabidi ujiandae sana,Game ya kwanza El Classico Pep alimfunga 5au 6 game zilizofuatia Pep alikuwa anapata tabu sana na msimu huu baada ya kufungwa na Pep na Conte mechi zilizofuatia amewapa wakati mgumu
Comment yako imenifanya nione napoteza muda. Pasaka njema.Kafanya nn cha maana ? Unaongea 7bu man kashinda ! Kacheza mechi ngap mpk leo ndo 2mkubali ? Na ndo mcmu wake qa mwisho huu huyu kuli wako
Khe kheeeeeeeeeee kheeeeeeer. We are all MANU today. EPL inakuwa tamu sasa kuelekea ukingoni.
Siyo kwamba mpemba kampa MOTM Herrera?Rashford ni MAN OF THE MATCH
Kuna watu waliiponda sana line up ya leo
Shukrani nyingi kwako pia kwa pongezi zako leo mou kikosi anajua alipokitoa ni maamuzi ya kiufundi lakini magumu sana.
[HASHTAG]#TheRedArmyMarch[/HASHTAG]
Mzee mwenzangu kwani na wewe unawania ubingwa??? khe kheee kheeeeeeeeeeeee!!
Asante kwa kampani mkuu.