Huyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelsea
Wewe na wenzio mjifunze ku analyse game sio mnaangalia visigino kanzu etc. Mpira wa Ulaya hawaangalii hivyo vitu.
Wanaojua mpira tu ndio wanaweza kuona kazi ya Ashley Young au Lingard. Umemiona Victor Moses leo? Unajua Lingard kakimbia km ngapi? Au amefanya sprint ngapi?
Msifikiri Mou mjinga kuweka bench talent kama Martial au Shaw. Football is more than just talent,its a war.