Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Van Gaal alishaishia hatuko naye na ni mstaafu na Schneiderlin hatuko naye yuko Everton lakini Schneiderlin bado ana donge na Van Gaal kisa adai alimgeuza Robot.
Hii inatokana na kumtaka acheze kiana fulani na kuficha au kufunika vipaji vyake
Hii inatokana na kumtaka acheze kiana fulani na kuficha au kufunika vipaji vyake