Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourhnio anaongoza kwa rekodi mbaya ya ushindi kuanzia mwaka 1974 katika historia ya Manutd

ivi ferg hajawah hata kwenda kuwasalimia mazoezini na kuwatia morali wachezaji
 
Mourhnio aonyesha msongo wa mawazo akiwa London ni vipi madoroooo badala ya ushindi

View attachment 491496
Huyu kasha fail, Manchester United imekua kubwa kuliko uwezo wake
Kwanza tujiulize, kibarua chake kipo jiji la Manchester ila yeye analala London na ikitokea kalala jiji la Manchester analala Lowry hotel, msimu unaisha huu hana makazi rasmi

Muda utaeleza
 
Griezman alishakataa ofa

Neymar ni aghali mno
AC Milan wanapitia magumu ambayo man utd wanapitia now!

Hata wamsajili Messi, cr7, griezman, hazard N.k bado hawatafanya kitu,

Timu imefikia kikomo!
 
AC Milan wanapitia magumu ambayo man utd wanapitia now!

Hata wamsajili Messi, cr7, griezman, hazard N.k bado hawatafanya kitu,

Timu imefikia kikomo!
ligi ya italy ilishajifia ndugu
 
Heheheh
Hamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress

Duh mkuu hayo ni maoni yangu si lazima ukubaliane nayo, kama hupendi kusikia tofauti na unavoona wewe, hama wewe, mimi sio mshabiki maandazi kama wengi wenu humu walivo

Kwani hiyo tofauti imeanza leo?

Mshabiki aliyejikatia tamaa.. Nina uhakika kabisa mwanzo pia ulisema hatutafika hatua hii Europa.

Stop calling Man U

It's Man Utd
 
AC Milan wanapitia magumu ambayo man utd wanapitia now!

Hata wamsajili Messi, cr7, griezman, hazard N.k bado hawatafanya kitu,

Timu imefikia kikomo!
Bado nafasi ipo ya kurudi pale ilipokuwa japo ni suala la muda maana hata Fergie alisubiri misimu mitano ndio akawa na ufahari alionao leo

Jiulize kwanini Atletico wako vile unavyowaona leo ni mipango from the scratch

MANCHESTER UNITED inapaswa kuwekeza kwa vijana watakaokuwa na spirit ya United kuliko ilivyo hivi sasa ambapo wachezaji wastani wa umri ni 28
 
Ndicho nilichokuwa nasema, mtasubiri sana kurudi kwenye enzi za Ferguson!

Huu ni mwaka WA 4 unaenda mnastruggle!
 
Basi km Mou timu imemzidi hakuna kocha mwingine Duniani mwenye uwezo wa kuifundisha Man U mi nadhani tufanye km Real kwa kumchukua kijana wao ZIZZU na kumuamini na sisi tunatakiwa tumuamini GIGGS tumpe timu tukubali kuanzia chini tukubali kushindwa
 
Ni kweli kabisaa maana anaijua united in and out....
Hili wazo lilitakiwa kufanyika immediately baada ya van gal kuondoka ilitakiwa tuachane na jm
 
Basi km Mou timu imemzidi hakuna kocha mwingine Duniani mwenye uwezo wa kuifundisha Man U mi nadhani tufanye km Real kwa kumchukua kijana wao ZIZZU na kumuamini na sisi tunatakiwa tumuamini GIGGS tumpe timu tukubali kuanzia chini tukubali kushindwa
Mtashuka daraja mkifanya michezo, mpira ni uwekezaji na sio bla blaa za kununua gunia linaloitwa Pogba kwa matrilion!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…