Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG-20170313-WA0023.jpg
 
Valencia sijui atasikia..ili;


Najua leo kwa kiasi kikubwa tuacheza defensive game...!

Conte atakuja na style ya counter!

Hasa wakati ambao valencia anapanda kufanya wing attack...

Valencia aki-fanya mistake tuu...ule ule upande wake ndio anotokea Eden Hazard..ni rahisi kutupiga counter..

Hapa ndo ninaposema carrick lazima afanye kazi ya ziada..
 
Ila mkuu tuache utani naiogopa chelsea ya sasa kulliko hata barca
Wana consistent nzuri sasa hivi...! Kitu ambacho sisi hatuna...


Ila sijui jose kaanda vipi team kisaikolojia leo...!

Mchezo unaachezwa kwa saikolojia kabla ya uwanjani...!

Ila mimi nahofia tuu tukiruhusu goli la mapema..!
 
Nina marafiki hapa wa man u wanasema muda umebana hivyo basi leo saa 5 usiku wana kikao cha send off,ubarikio na mwingine atasafiri nisijisumbue kuwatafuta nimehuzunika sana.
 
Ila najiuliza kati ya Mkhtaryan / Young na Fellain ni nani yuko potential kuwa frontline...?



Nahisi kama mkhtaryan ni potential zaidi...

Why?

Fellaini anaweza anaweza kudenfense zaidi kuliko mkhitaryan...
 
Ila najiuliza kati ya Mkhtaryan / Young na Fellain ni nani yuko potential kuwa frontline...?



Nahisi kama mkhtaryan ni potential zaidi...

Why?

Fellaini anaweza anaweza kudenfense zaidi kuliko mkhitaryan...

Chelsea ni wabovu sana kwenye mipira ya juu. Fella anafaa kuwasumbua kwenye mipira ya juu na wachezaji wengine wakatumia huo mwanya kumwadhibu Chelsea. Angalia mechi kama ya Totenham,Liverpool,Arsenal Giroud alikuja na kufunga kirahisi bila kusahau game ya Stoke jinsi Crouch alivyowasumbua na kutengeneza goli 1 na kufunga lingine.
 
Ila bado nina imani na mourinho.

Nakumbuka kuna mechi ilioigwa August-2013 . Kipindi tupo na David Moyes


Alikuwa ni same scenario..! Nakumbuka frontline ya chelsea ilikuwa na majeruhi ya Tores, De Mba na Kina Lukaku..

Japo Jose alitoka draw na sisi lakini alifanya ambacho leo ndo atakifanya...

Andre schurle ndo alicheza kama False No. 9 ya chelsea and they did their best..

Chelsea ilikuwa hivi;

Cech, Ivanovic,cole, cahill, Terry,Ramires,Lampard,De Brunye,Hazard , Oscar na Schurle..

Schurle pekee ndo alicheza mbele...!


Today we have mhkitaryan..

Go mufc! GO united! Go jose!
 
Back
Top Bottom