iyo nafasi ya fellaini apewe bastian schwensteiger
Sasa ndo atapiga kazi mpaka utarudi kuifuta hii coment yakohuyu bwege aliechukua begi kama anakwenda pemba nikimuona uwanjani leo amani sina
Naomben Msaada jaman Link ya Kuchek Hii Game kupitia Simu
Www.yallah-shoot.comNaomben Msaada jaman Link ya Kuchek Hii Game kupitia Simu
Teh teh tehUna report kutokea wapi ndugu. UK au Chato?
Kwa kweliKikosi changu cha leo.
De Gea
Valencia
Bailly
Rojo
Shaw
Carrick
Herrera
Pogba
Fella
Mata
Micki
Kwa hiki kikosi sioni chelsea wakitoka salama.
Mbona unawasiwasiYaani sipatii picha gemu ya leo
Hahaha...Una report kutokea wapi ndugu. UK au Chato?
Naaona unachukua taadhari. JifarijiReport zina claim kwamba ingawa rashford inasemekana kwamba n mgonjwa ameweza kwenda London he can be featured tonight let's wait n see may be ts just rumors tu may be it can be a mind games za mourinho napia kingine kinasemekana mou hana was was wa kupoteza Leo koz anataka kubakia Europa league so he got nothing to lose today coz itamwongezea focus kwa only two competition
Nawasilisha