Ila bado nina imani na mourinho.
Nakumbuka kuna mechi ilioigwa August-2013 . Kipindi tupo na David Moyes
Alikuwa ni same scenario..! Nakumbuka frontline ya chelsea ilikuwa na majeruhi ya Tores, De Mba na Kina Lukaku..
Japo Jose alitoka draw na sisi lakini alifanya ambacho leo ndo atakifanya...
Andre schurle ndo alicheza kama False No. 9 ya chelsea and they did their best..
Chelsea ilikuwa hivi;
Cech, Ivanovic,cole, cahill, Terry,Ramires,Lampard,De Brunye,Hazard , Oscar na Schurle..
Schurle pekee ndo alicheza mbele...!
Today we have mhkitaryan..
Go mufc! GO united! Go jose!
Nashangaa wameshaanza nidhamu ya woga mapema, mi sioni pengo lolote kumkosa zlatan, zlatan ni sawa tu na mkubwa fela, hao martial na rashford hata kama wasingekua injury si wachezaji wa kutegemea wakukupa positive result wakiwemo, kwenye gemu 4, mechi moja tu ndo wanaweza kucheza vizuri, zilizobaki zote wakaharibu, so timu ni ile ile tu, hakuna pengo lolote, musilete visingizio mapema bureAchane kujipa presha jamani, pale kuna fundi mikki, mata show za juu zote ana cheza fellaini presha ipo wapi? kumbukeni pia mnyama pogback yupo, inshort leo ndo siku ambayo nina amani kuliko zote, leo magoli ya kipuuzi puuzi hatutokosa maana safu ya leo yote inanjaa ya magoli,,,
Ila mungu atutangulie![]()
# 9 atacheza big Fella mkuuIla bado nina imani na mourinho.
Nakumbuka kuna mechi ilioigwa August-2013 . Kipindi tupo na David Moyes
Alikuwa ni same scenario..! Nakumbuka frontline ya chelsea ilikuwa na majeruhi ya Tores, De Mba na Kina Lukaku..
Japo Jose alitoka draw na sisi lakini alifanya ambacho leo ndo atakifanya...
Andre schurle ndo alicheza kama False No. 9 ya chelsea and they did their best..
Chelsea ilikuwa hivi;
Cech, Ivanovic,cole, cahill, Terry,Ramires,Lampard,De Brunye,Hazard , Oscar na Schurle..
Schurle pekee ndo alicheza mbele...!
Today we have mhkitaryan..
Go mufc! GO united! Go jose!
Kwamba akina Rooney watakuwepo?Au ni mind games?
Yes tusubiri 2 hrs before the kick offKwamba akina Rooney watakuwepo?
huyu bwege aliechukua begi kama anakwenda pemba nikimuona uwanjani leo amani sina
Hahaha relax aiseehuyu bwege aliechukua begi kama anakwenda pemba nikimuona uwanjani leo amani sina
Leo atafunga goli la ushindi...huyu bwege aliechukua begi kama anakwenda pemba nikimuona uwanjani leo amani sina
kweli unalolisema ila hata silvestre alikuwa anafunga magoli ila bado alibaki kuwa ni kilazaLeo atafunga goli la ushindi...