Hatutoki.....bora tutolewe tu FA timu ipumzikeHii game sijui mournho anaichukuliaje...nahis huenda akaamua kupunguza wingi wa game tunazocheza na hivyo basi tukapoteza kwa chelsea ila kwa goli chache kulko kula kipigo cha aibu....au akaenda kukaza na kikosi hicho hicho kinachoonekana dhaifu kutafuta matokeo...ila kiukweli kwa mtazamo wangu sioni kama tuna pa kutokea leo ijapokuwa mpira unadunda lakini sio kwenye tope
Hamna droo ndugu ni mtoano lazima leo mtu afungashe asee...kama sijakosea ndo hivyoTunaenda kuchukua draw yetu safi alafu tunawasubili kwetu
hahahahahaaaaa naona njia pekee ya kutoka suluhu mechi ya leo ni kukimbia na magoli. itabidi nilale mapema sana kwa striker huyu na lingard.
Atapita Man Utd na viporo vitaongezekaGame ya leo haina replayed kwa ratiba iliyopo inawapa wakati mgumu FA kuipangia United match za marudiano sababu ligi iko tight na viporo viwili tena waongeze cha tatu! Hivyo leo lazima apite mmoja kazi iishe




Hapa pamkaa pouwa! ...kati kutakuwa na pogba, carrick na hererra
Counter attack ni muhimu sana leo mkuu...Achane kujipa presha jamani, pale kuna fundi mikki, mata show za juu zote ana cheza fellaini presha ipo wapi? kumbukeni pia mnyama pogback yupo, inshort leo ndo siku ambayo nina amani kuliko zote, leo magoli ya kipuuzi puuzi hatutokosa maana safu ya leo yote inanjaa ya magoli,,,
Ila mungu atutangulie![]()
hahahahahaaaaa naona njia pekee ya kutoka suluhu mechi ya leo ni kukimbia na magoli. itabidi nilale mapema sana kwa striker huyu na lingard.
View attachment 480434

Tukichagizwa na utetezi wa FAAtapita Man Utd na viporo vitaongezeka
Mechi za mtoano ni Man Utd huwa haitolewi kibwegebwege chini ya Mourinho japo tuna pengo la strikers sioni km ni tatizo maana viungo na ulinzi hakuna pengo hivyo ni mwendo wa counter attack
Young hawez akaanza leovalencia rojo baily blind
herrera pogba carrick
mata mikhi young
Young ni potential sana,anasaidia kukaba pia krosi zake zina macho.Kwan hujaangalia gemu zilizopita alivocheza vizuri?Young hawez akaanza leo
Carrick inabidi awe na kazi ya ziada sana..Mourinho leo akimweka tu Smalling,tumekwishwa..
Nafasi ya kati chelsea wapo vizuri sana herrera na carrick na pogba wanatakiwa wapige mpira mwingi sana,la sivyo hali itakuwa ngumu..Carrick inabidi awe na kazi ya ziada sana..