Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna game nimewahi kuishuhudia man u anaingia underdog kama game ya Leo Vs Chelsea...

Unaingia ukiwa beki ya smalling
 
Ila kumbuka tusimtegemee sana Mick ndo juzi tu katoka injury na gemu ya mwisho alitolewa asicheze full time na huyo felaini mi sijui..
Fellaini huwa anakuwa na homa za msimu sasa sijui leo kaamkaje, Then Mikki atasaidiwa na Lingard
 
Confirmed felain ndo atakuwa Main striker huku pembeni wakicheza akina mick,mata lingard
 
Confirmed felain ndo atakuwa Main striker huku pembeni wakicheza akina mick,mata lingard
IMG-20170313-WA0017.jpg
 
Hii game sijui mournho anaichukuliaje...nahis huenda akaamua kupunguza wingi wa game tunazocheza na hivyo basi tukapoteza kwa chelsea ila kwa goli chache kulko kula kipigo cha aibu....au akaenda kukaza na kikosi hicho hicho kinachoonekana dhaifu kutafuta matokeo...ila kiukweli kwa mtazamo wangu sioni kama tuna pa kutokea leo ijapokuwa mpira unadunda lakini sio kwenye tope
 
Back
Top Bottom