Angalia tu asee kwa sababu mna injury tutawapa unafuu back line atacheza ike,terry, Zuma na tutampumzisha fabry atacheza matic yule anae tokea benchi,na Pedro atapumzika atacheza willian yule mchezaji wa akibaDaaah basi tena....ntaangalia tu mechi kwa kuwa naipenda timu lakini hawa wawili kukosekana ni pengo kubwa sana
Kuwa na imani. Leo naona nafasi mbili ya kushinda au droo.Rooney,Martail,Rashford wote injury,leo kazi ipo..
Mkuu kwa sheria ya mwaka huu FA cup leo lazima apatikane mshindi,aidha kwa extra time au matutaSare leo
Tunanyea debe leoMkuu kwa sheria ya mwaka huu FA cup leo lazima apatikane mshindi,aidha kwa extra time au matuta
Acha uongo, unajua man city hatua ya robo kafikaje?Mkuu kwa sheria ya mwaka huu FA cup leo lazima apatikane mshindi,aidha kwa extra time au matuta
Acha uongo, unajua man city hatua ya robo kafikaje?
Siyo uongo sheria imetuangukia hivyooooAcha uongo, unajua man city hatua ya robo kafikaje?
Mkuu sheria za fa sasa hivi wametangaza kama match ikiisha na sare, hakuna kuongeza muda ni kupigiana tu penatiSare leo
uyo icardi jana alikichafua vibaya sana anatufaa manchester unitedYah mkuu nikiwa na muda wale wakina falcao, cavan, lacazette, ballotelli wananifanya nijikute naangalia ile ligi... .. Hata italia naangalia wale wakina Icardi, banega, dybala, immobile, dzeko wanang'ara sana....
Acha kukurupukaAcha uongo, unajua man city hatua ya robo kafikaje?





