Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Herrera out
Shukrani mkuuHadi Alhamisi wiki ijayo marudio.
Unajitahidi mkuu, nadhani uwanja ndio tatizoHadi Alhamisi wiki ijayo marudio.
sijawahi kumkubali smalling tokea anacheza fulhamSmalling jaman mmmh
Smalling na Jones sjui wamejilogea pale utd... Hawastahili kabisa kuvaa jezi yetu.sijawahi kumkubali smalling tokea anacheza fulham
Jaruba lileUnajitahidi mkuu, nadhani uwanja ndio tatizo
karibu sanaShukrani mkuu
Smalling kidogo kipindi kile cha Sir Alex alikuwa anajitahidi beki ya kulia na nilitokea kumuani.sijawahi kumkubali smalling tokea anacheza fulham