Aiseeeee huyo ni msumbufu tofauti na griezmn kakaa kitarget man sanaTunatakiwa kushinda mchezo wa kesho kwanza bila kuangalia wenzetu watafanya nini,,, napenda kumwona Paul Dyabala akiungana na Pogba OT,, binafsi naamin n mzuri kulko Griezman,,
Mashine ilikua David gill ikisaidiana na peter Kenyon kabla ya kununuliwa na abramovich alipoinunua Chelsea aiseee huyu Kenyon alimsaidia sana mou kusajili majembe kipindi kile ......woodwrd mpole sana banaMakatheboy unafikiri Woodward ananguvu kubwa kama Peter Kenyon au David Gill? Huyu jamaa muda mwingine huwa naona hana nguvu ya ushawishi
Kenyon alishatimuliwa Chelsea yupo wapi kwa sas.....kama vp tumrudisheMkuu Havanna naamin Ed hana ushawish mkubwa sana ila uwepo wa Mou utasaidia,, Mou ni kocha mwenye mvuto kias chake,, Ed ni mzuri sana kwa bargaining maana kama sikosei ni mtu wa mahesabu,, ila nadhani kwenye mpira sio kivile na ndo otofaut wake na kna Gill na Ken unapopatikana,, tumewah kuwakosa kna Alcantala, Vidal, Fabrigas, Rodriguez, na hata Renato Sanchez kwa sabab ya ushawishi mdogo wa Ed...
Mm nawaombea wa drow woote wawiliKitakachotokea leo Jumamosi
Man Utd atashinda dhidi ya Bounermouth, hivyo atakuwa na Points 51.
Liverpool atamfunga Arsenal, hivyo atakuwa na points 52 na Arsenal atabaki na Points zake 50.
Hapo Man Utd atachupa hadi nafasi ya tano.
Lakini ikumbukwe Liverpool atakuwa na mechi 27 na Utd wanakuwa na Mechi 26, aidha Utd atashinda hicho kipolo na kuwa na points 54 na kushika nafasi ya Nne.
Hadi mwezi Machi unaisha, Utd atakuwa nafasi ya Nne.
Hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Mei mbio za Ubingwa zitakuwa kati ya Utd, Spurs na Chelsea, japo Spurs atalegea.....
GGMU
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Sifahamu labda ameamua kujipumzisha,ntatafuta information zakeKenyon alishatimuliwa Chelsea yupo wapi kwa sas.....kama vp tumrudishe
kwa nn mkuuSina hata raha leo
Kama hatufungwi basi sare....ushindi leo mmmmmh

Mkuu usiwe na shaka, tunashinda kw Kishindo na tunahama chumba cha sita tafuta dalali tuSina hata raha leo
Kama hatufungwi basi sare....ushindi leo mmmmmh
Pole dua la kuku alimpati mweweSitashangaa leo mtu mzima akiekwa tatu na madogo wa bonamauthi maana hamna namna lazima mkae tuu..![]()
![]()
![]()
Lukaku anafaa sanaaaaaHuyo kane tusipoteze pesa tuamie kwa lukaku tu naona anatosha sana.
Jidanganye mzee..Leo Nafasi ya Nne ileeeeeeeeeeee inakujaaa tunaanza kupambana na nafasi ya 2