Mr Mike
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 222
- 466
Mkuu Havanna naamin Ed hana ushawish mkubwa sana ila uwepo wa Mou utasaidia,, Mou ni kocha mwenye mvuto kias chake,, Ed ni mzuri sana kwa bargaining maana kama sikosei ni mtu wa mahesabu,, ila nadhani kwenye mpira sio kivile na ndo otofaut wake na kna Gill na Ken unapopatikana,, tumewah kuwakosa kna Alcantala, Vidal, Fabrigas, Rodriguez, na hata Renato Sanchez kwa sabab ya ushawishi mdogo wa Ed...
