Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Enzi za Fergie kulikuwa na Rooney mwenye uwezo wa kucheza nafasi za watu watatu, alikuwepo Ronaldo katika peak yake, alikuwepo Teves,Anderson yaani hawa hata mechi tano kwa wiki wanaweza kucheza.

Sasa hivi tuna wazee(Carrick,Ibra,Rooney) ndio tegemeo...waliobaki ni watoto na very talented lakini sio wagumu kama akina Rooney,Ronaldo wa enzi zile.
Unawakosea heshima watu hawa fletcher na huyu three lungs (ji sung park )hawa binadamu walikuwa ndio nguzo ya united kipindi hicho.
 
Kitu kinachonitia hofu ni uchovu kwa wachezaji Kama mdau mmoja alivosema pale juu,

Hii ratiba sidhan Kama ni favourable kwetu, tuna mechi nyingi na ngumu kwa muda mfupi, bora tutolewe FA tufocus kwenye ligi na europa

Sidhan Kama Tunaweza kwenda na Europa, FA na ligi kwa pamoja na matokeo yakawa upande wetu
Tusitoke hata mchuano mmoja. Tukaze mwanzo mwisho.
Makombe yote ni muhimu kwetu.
Imagine umechukua Europa na FA then ukaingia top 4 EPL..
 
c23e28cc5853535c8374d41ae1776b67.jpg
 
Kikombe cha Europa kikija OT itakua faraja sana ila huwa ni kigum sana kikuchukua kwa hizi tim kubwa,, ila naomba sana kije OT,, Top four pia itapendeza sana kama tutaingia maana ndio itaonesha ukomavu wa tim,, Man Utd haipaswi kuogopa mchuano wowote ili hali ndio tim yenye kipato kikubwa katika ulimwengu wa soka,,,
 
Mou: Luke Shaw yupo kwenye kikosi kitakacho pambana na Bournemouth kesho pia Wayne Rooney amethibitiaha hill kwenye press conference Leo mchana
 
Also amesema hana uwakika kma Rooney atabaki msimu ujao ingawa angependelea abaki ila amesema anahitaji mchezaji kubaki kama atakuwa happy ila sio kubaki ili kumfurahisha amesistiza hilo pia kwa ibra since kwenye mkataba kuna kipengele cha kuaad new year contract
 
Mou: amethibitisha kutakuwa na wachezaji wapya in summer window ili kuipa nguvu time kwenye maeneo fulan uwanjan
 
Mou: mikh amefanya mazoez Leo lakin hadhani kama atakuwa fit kwa gemu yakesho amesistiza Bournemouth sio time ya mchezo mchezo Bali inaujanja mwingi so kesho ni must win game ili kuichukua chance ya timu ziliz juu yetu kwan anaamin lazima mmoja wao kati yao atapoteza points [HASHTAG]#ggmu[/HASHTAG]
 
Tunatakiwa kushinda mchezo wa kesho kwanza bila kuangalia wenzetu watafanya nini,,, napenda kumwona Paul Dyabala akiungana na Pogba OT,, binafsi naamin n mzuri kulko Griezman,,
 
Tunatakiwa kushinda mchezo wa kesho kwanza bila kuangalia wenzetu watafanya nini,,, napenda kumwona Paul Dyabala akiungana na Pogba OT,, binafsi naamin n mzuri kulko Griezman,,
Nakubaliana na wewe Mkuu, dyabala ni mzuri kuliko griz, Pia ni young tatizo linakuja ni kwamba madrid nao wanamtolea macho awe m-badala wa benz,

Na Sio muda ata sign mkataba mpya na juve inasemekana buyout clause yake itakua paun 150 mill ni pesa nyingi sana
 
Mkuu Herrera hapo ndo kuna utata,, ila sio mbaya sana kama tutachemka basi Griez awe back up,, tim haiwez kujengwa kupitia kwa kna Ibra,, sjajua kama timu itasajili fowad wa maana Ibra atacheza wap,, na sjui kama atakubali kuwa mtu wa benchi,,,, binafsi naamin mechi nyingi msimu huu,,ama tultoka sare,, kupoteza ama ushindi wa bao 1 sabab ya kukosa mshambuliaji makini mwenye uwezo na uchu wa mabao,,.. Sikatai Ibra ni world class,, ila naamin kila kitabu na zama zake ndio maana simwoni wazza akisalia OT,, na ndio maana dinyo aliamua kuondoka barca kuwapisha kna messi,,,, Try Dyabala mr. Woodward
 
Makatheboy unafikiri Woodward ananguvu kubwa kama Peter Kenyon au David Gill? Huyu jamaa muda mwingine huwa naona hana nguvu ya ushawishi
 
Back
Top Bottom