Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,095
- 10,405
Majirani...
Naona mumeshinda kombe la BATA..!
He he he..!
Naona mumeshinda kombe la BATA..!
He he he..!
Utajinyongea kamasi nakuambia.Ondoa EPL kwenye orodha yako, hata top four hamtakuwepo.
Maneno ya mkosaji hayoMajirani...
Naona mumeshinda kombe la BATA..!
He he he..!
Wewe ni shabiki wa Chelsea!!! Kama ndiyo, unapaswa kuelewa zaidi juu ya timu yako. Hata kiwanja hujui kinaitwaje!. Hongereni tukutane tarehe 13th March Stanford bridge.
Kabisa maana mech tatu magoli matatuDogo anataka kujenga mahusiano mazuri na uwanja huu
Hahahh uchochezi huo mi simtambui mtu huyo mkuu.Like Daudi Bashite u mean??
Majirani...
Naona mumeshinda kombe la BATA..!
He he he..!
Leo suala la takwimu limechukua nafasi tenda haki basi
Leo suala la takwimu limechukua nafasi tenda haki basi
United 42
Liverpool 41
Arsenal 28
Chelsea 21
Everton 15
That is it mkuuHebu amka inaonekana bado hujaelewa,the issue ni kwamba Giroud amefunga goli la kusawazisha zimebaki dakika 3 anapoteza muda kushangilia while angeweza kurudi mpira uanze wafunge goli la ushindi.Rooney alifunga goli akawa anakimbilia kati Stoke waanze mpira
Tena wana sifa nyingine kubwa waliisha chukua mwali wa ligi ya mabingwa yenyewe na Nottingham forest wanastahili pongezi japo wamepotea hivi sasaAston Villa 20
Watu hawana habari na mimi..!?Unahangaika balaa halafu watu hawana habar na ww pole machoz ya samaki
Watu hawana habari na mimi..!?
Sio kweli...
Kwani wewe ni Mbwa..!?
Ooh...wanakufahamu kama akili zako haziko sawa hata maandiko yako yanaonesha
Huwa wenzio hatupendi kutumia lugha za kuzalilisha pevuka kiakiliOoh...
Wakina nani wananifahamu antie..!?
Asante kwa ushauri...Huwa wenzio hatupendi kutumia lugha za kuzalilisha pevuka kiakili
Daima huo hivyo.Asante kwa ushauri...
Ila ni vyema kuishi katika maneno yako..!