Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

KAMA WEWE NI MPENDA SOKA NA MTU WA KUBASHIRI/ TIPSTER WA GAME ZA MATAIFA MBALIMBALI TENGENEZA PESA NYINGI KWA KIFWATILIA TIPS ZA WWW.BONGOTIPS.COM NA JIUNGE KATIKA SITE KWA KUSIGN UP NA KUJAZA TAARIFA ZAKO UWEZE KUPEWA UKURASA NA ACCOUNT YAKO YA KUBASHIRI GAME BILA MALIPO YOYOTE ILA ATAKAYE TAKA KUONA BASHIRI ZAKO ATATOZWA HELA AMBAYO UTAIPATA WEWE MTABIRI WA HIZO GAME . KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0718445962 AU TUFWATILIE PIA FACEBOOK , TWITER, GOOGLE+ KWA KUANDIKA BONGOTIPS BETTING PREDICTION
 
Linesman acted too fast for Manolo Gabbiadini offside call, and Jesse Lingard should see red
 
3eff6bd6e35d0b8159fcb8fc0f834bf2.jpg
 
Kitu kimoja nilikiona jana ni uchovu. Man utd inacheza mechi moja kila baada ya siku nne. Hii itaenda mpaka mwisho wa msimu kama hawatatolewa makombe yote.

Hii inasababisha timu kukosa energy na wapinzani wanajua hilo. Ndio maana jana Mourinho alianza na Lingard kwasababu huwa anakimbiakimbia uwanja mzima.

Mechi ya jana tumeshinda kwa uzoefu tu ila timu ilishindwa kabisa kwenda na kasi ya Saints.
 
My sweet yaani nipo kama sipo!!! Hongera nawe ila basi katika shida na raha tuwe pamoja,ila wewe ndoa yako na United ni katika raha tu,wewe nomaaa
Nlishapata stroke juu ya hii team.....


Hongera kwa kunyanyua kwapa
 
Uyu Gallagher anaichukia Man United sana. Na amenishangaza kusema ile foul ya Stephens dhidi ya Martial rafa alikua sahihi kutoa yellow lakini kwa Lingard ni red card.
Kisu unawaskiza hawa wajinga liverfool hawana lolote yani kwako kuku akinya kanya ila bat anaharisha really tumeshuhudia makosa mengi ya referees lakin man utd wanabebwa kila siku wachana nao
 
Leicester naona anamudhibu Liverpool huko. Naona tunaenda kuikodisha nafasi ya nne kwa watu flani. Tena naombea Liverpool game yao na Arsenal washinde tutakuwa na chance nzuri ya kuingia top 4.
Sijui mdondo au kideli ila majogoo yanatia huruma tukicheza uzuri game mbili zijazo mbona sherehe kwetu
 
Back
Top Bottom