Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney snubbed mega payday in China as he wants to break England caps record

6 hours ago / Brava

WAYNE ROONEY rejected a potential move to China because he wants to break Peter Shilton’s all-time England caps record.



The Manchester United forward now has 119, just six short of the legendary Three Lions keeper.

And Rooney knew that a move to the Chinese Super League would probably have ended his inter- national career.

1488135653794.jpg
 
Shukrani sana Mkuu haya majukwaa yanapendeza sana tukitaniana na kupongezena pale inapobidi kufanya hivyo vinginevyo ushabiki humu utakuwa hauna maana na haya majukwaa yatapooza Mkuu.
Swadakta utani upo na vijembe vya hapa na pale na sio maneno yenye ukakasi na lugha chafu za dhihaka michezo ni furaha na si karaha pamoja sana ndugu yangu.
 
Rooney ni shujaa kakacha minoti ili kuvunja rekodi ya Pete Shilton ya mechi 125 wakati yeye ni 119. Tofauti ni mechi 6 tu kati yao. Angeenda uchina haya yote yangelikuwa utata mtupu
 
Ok lakini mpira raha yake live wa kurudia huwa haunogi, mie nilijaribu kurekodi baadhi ya mechi siku za nyuma ambazo majukumu yalinifanya nishindwe kuziona wala haina raha kama ukiona live.
kweli lakini, ila sikuwa na uwezo wa kuangalia aiseee sijui kwanini kamoyo kalikuwa kanadunda tu .
 
Back
Top Bottom