Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,208
- 20,954
Vikombe vya kuku sio vipaumbele vyetuTeam yako haikushiriki?
Vikombe vya kuku sio vipaumbele vyetuTeam yako haikushiriki?
BAK hongera sana ndugu weye ni mwanamichezo na mashabiki wengi humu wa united tunautambua uwepo wako katika nyakati zote iwe jua au mvua big up kwako.![]()
And celebrates, Zlatan style
yani ndiyo nachungulia sasa hivi matokeo, kila nikiwaza kamoyo kanadunda ila kuna mtu kanipa hongera ndiyo nikajua tumeshinda.56 min United have their first good spell of possession of the half. It ends when Redmond flattens Carrick, for which he is booked.
![]()
Redmond flies into Carrick.
usengwili sana.Hongera united...u deserved it
Mbona mlitolewa mapema tu,?Vikombe vya kuku sio vipaumbele vyetu
mie ndiyo sikutaka kuangalia kabisa nikasema usiku nisije kuweweseka bure.Hongereni pia na mashabiki wa united ambao mmemaliza dk 90 zote. Mimi walipoanza kosakosa kwa kweli nilishindwa kuvumilia maana nilikuwa nahisi kama kuna mtu ndani anakatakata maini na kila kitu.
Msimu ujao ligi kuu tunabeba.
Ni kweli kabisa!BAK hongera sana ndugu weye ni mwanamichezo na mashabiki wengi humu wa united tunautambua uwepo wako katika nyakati zote iwe jua au mvua big up kwako.
yani ndiyo nachungulia sasa hivi matokeo, kila nikiwaza kamoyo kanadunda ila kuna mtu kanipa hongera ndiyo nikajua tumeshinda.
Hupaswi kuwa na hofu wakati Kocha ni Mourhnioyani ndiyo nachungulia sasa hivi matokeo, kila nikiwaza kamoyo kanadunda ila kuna mtu kanipa hongera ndiyo nikajua tumeshinda.
BAK hongera sana ndugu weye ni mwanamichezo na mashabiki wengi humu wa united tunautambua uwepo wako katika nyakati zote iwe jua au mvua big up kwako.