Achezi leo. MajeruhiMiki atacheza,?
Wakuu nimerudi tena ushindi wa leo pale wembley utakuwa mwembamba sana wa goli moja likifungwa na Zlatan na man u kuibuka na ushindi ni hayo tu tukutane mida ya jioni,,Matokeo ya leo
Yatakuwa hivi
ManU 2:0 watford.
Sawa kk, tusubiri mudaWakuu nimerudi tena ushindi wa leo pale wembley utakuwa mwembamba sana wa goli moja likifungwa na Zlatan na man u kuibuka na ushindi ni hayo tu tukutane mida ya jioni,,
again from my dreams..
Zlatan ni very Giants, mwili umejengeka kwa misuliAnder Herrera: "It was fantastic to get Zlatan, because sometimes the opponents are scared of him and the rest of us take advantage of that."View attachment 474646