mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 789
- 1,264
19:30Game saa ngapi?
19:30Game saa ngapi?
Ameonekana kuwasili uwanjani huenda akacheza...huenda zilikiwa trick za mourinho kisema hatocheza sina uhakika wakuu ni mtazamo tuMkhitaryan hayupo,gemu itakuwa tough sana..
Lingard kaanzaKikosi cha leo![]()
Lingard kaanza
Ana bahati ya kucheza Wembley
Hivi lingard wanampendea nini jamani
Wacha hawa watu wacheze mpira mzuri unaovutia maana wanajali na wameupa thamani..
Wenzetu wanajua nini wanachokifanyaWacha hawa watu wacheze mpira mzuri unaovutia maana wanajali na wameupa thamani..
Hivi timu za kwetu bongo wanaandaliwa hivi?
Dogo ana kipaji sio wakubeza sana,mwache apewe nafasiHivi lingard wanampendea nini jamani
angeanza nani?Sijaunga mkono kuanza kwa lingard
Sema ngoja tuone
Huyo ndogo yupo poa tu mwaminiSijaunga mkono kuanza kwa lingard
Sema ngoja tuone