Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
Mkuu sie tunaenda game kwa game, hayo ya jumapili yatasubiria for now tunamalizia mechi.
Now tufurahie kwanza na hii game kushinda.....
Mkuu sie tunaenda game kwa game, hayo ya jumapili yatasubiria for now tunamalizia mechi.
Mkuu sie tunaenda game kwa game, hayo ya jumapili yatasubiria for now tunamalizia mechi.
Bao hili la TOBOOOO..naomba nili dedicate kwa Michelle....Lol! naomba kupita na mm katkat....kheheeeeee!
Aya....asanten Wanga wetu wte, tunguli zenu zimekuwa very insipring..am looking forwrd mje nazo Emirata j2...
Kuna mwenye swali?
Alamsiki!
sishangilii mkuu...tuko pamoja....dawa zimeisha nguvu vibaya,within a minute wana goli mbili....kazi ipo!
kazi kweli kweli.....goli la tobo nalo si goli jamani au is it less of a goal? thanks....he he he he.....mkichukua kombe ruksa....l.o.l
hongereni sana jamani....am happy for you...9t 9t
Haya sawa siku zimebaki chache tu tunakuja hapo kwenu Emirate.....
Hahah mkuu najua wewe huna mechi za katikati ya wiki kwa hiyo ukimaliza moja unaangalia ya weekend...Nilikuwa nachanganya habari tu mkuu lool