Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera kwa kuzoea matatizo!!

AW tunza vifaa vya CPR mana leo ni salama salimini!!..umeona lakini, tunajiamini kwa sana Maure!!..Hureeee

Nitavitunza mpaka Wembley naona, hata hio mechi yenu ya marudiano sitakuja jukwaani kwenu kabisa ni kupoteza mda itakuwa. Walikutana na vilema wenzao Intermilan wakajitesea lol.
 
Morinho aliyatabiri haya kwamba Man atashinda na mtakutana naye na anasema atawafunga.

Hongereni Man U.
 
Nashangaa hapo wamefikaje kwa mpira huu mbovu wanaocheza alafu nyumbani kwao....

Ni wazur sana Shake...sema wamekutana na dhahama ya litimu bora duniani., kwaio lazima waonekane crap Lol!
 
Kwa wenzangu wenye PC...Mnamuona Wacha1 boy apa jamvn?, sion posts zake, naona anaibia tu....

hahahaha! khekheeeee! hii dozi ya Schalke weeknd tutaipunguza, so usiogope sana kijannn...tutawapa nusu dozi tu...Khekheeeeeee!
 
Back
Top Bottom