Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Meneja wa Leicester City Claudio Ranieri amefukuzwa kazi, miezi tisa baada ya kushinda Ligi Kuu ya England.
Leicester wako pointi moja tu juu ya timu zilizopo hatarini kushuka daraja huku zikiwa zimesalia mechi 13.
"Bodi kwa uzito mkubwa inahisi kuna ulazima wa kubadili uongozi. Ingawa ni uamuzi mgumu lakini ni muhimu kwa maendeleo ya timu" imesema taarifa ya Leicester.
Ranieri, 65, aliipeleka Leicester kunyakua ubingwa licha ya wengi kutowapa nafasi hiyo.
 
Binafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
 
Football is not fair

Kumbuka ligi ilipoanza kahangaika sana kuipata combination ya rooney na ibra ukumbuke mou ni shabik mkubwa wa rooney hatumsemi vibaya alimpanga kila namba kasoro bek tu alimpeleka had 7
 
Binafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
Jamani tuache mapenzi binafsi. Kukaa kwenye nafasi ya kutengenezewa nacho kipaji, being in right place at right time.

Mwaka jana Ibra hakuwepo Rooney alifanya nini? Rooney ni namba 10, Ibra ni 9. Rooney kapoteza edge na kashindwa ku adapt na umri.
 
Man Utd's most expensive signings
Paul Pogba (£89million)
Angel Di Maria (£59.7million)

Juan Mata (£37.1million)

Anthony Martial (£36million)

Dimitar Berbatov (£30.75million)
Dah di maria inauma sana...
 
Jamani tuache mapenzi binafsi. Kukaa kwenye nafasi ya kutengenezewa nacho kipaji, being in right place at right time.

Mwaka jana Ibra hakuwepo Rooney alifanya nini? Rooney ni namba 10, Ibra ni 9. Rooney kapoteza edge na kashindwa ku adapt na umri.

Rooney alicheza kila game mwaka jana lakin mtu mwenye goli nyingi alikuwa martial ktk mashindano yote goli 17

Sasa angalia statistics za ibra mata na makhitaryan weka na rooney ikiwa wewe kocha unafanyaje? Hapo mrtial na rashaford kuna muda wanakaa bench
 
Bale: "Ryan Giggs was my hero, the way he played, left-footed and Welsh like me, I grew up watching him."

-RS
 
On paper Europa ni yetu but you never know, this is football

Roma, Lyon na Gladbach ndio wanaonekana watakua kikwazo kwenye safari yetu, tuna historia nzuri dhidi ya Roma, and I hope endapo tutakutana nao kichapo kitaendelea,

Lyon (natamani Sana tupangwe na hawa jamaa just to welcome back one of my favorite United player Rafael da Silva) Pia ni moja ya timu ninayopenda Sana kuitazama inapocheza toka ligi ya ufaransa,

Pia ningependa tukutane na genk ile kumuona tu mbwana Alli Samatta akicheza OT

All in all yyte atakaepangwa mbele yetu ni halali yetu
 
Binafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
Ibra rate yake kufunga magoli ni kubwa ,nafikiri ukiangalia statistics za miaka 5 iliyopita Messi na Ronaldo ndio wamefunga magoli mengi zaidi ya Ibra,Rooney ameshapoteza ukali wake wa kufunga magoli hata England pamoja na kuwa captain lakini bado amekuwa mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…