Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG-20170216-WA0004.jpg
 
Ni rahisi saana kwa aseno kufuzu raundi ya 16 uefa, kuliko manchester kuingia top foo labda Ferguson arudi
Naona umeamua kuhamisha magoli. Kama unahitaji home theatre system yenye sound bora nakushauri chukua Germany brand Grundig 5.1
 
655cdf45482646fb736c507a115b3bb9.jpg
. Kama habari picha inavyojieleza ila huyu jamaaa ni the best ila simkubaligi kwenye mechi zetu united..... Good luck clatenburg for good
 
Wakuu kuna program moja ya kucheki gem haipatikani play store ila kuna wakati nilikuwa nacheki tv mbali mbali kupitia hyo jina sikumbuki sana ila ni kama vile mabodlo so mwenye ufaham anisaidie natanguliza shukurani za dhati
 
Jamani kwa wale wenye Azam, hivi mpira wa Man U na St. Etienne hawaonyeshi TV1 au ZBC!? Kwa mwenye taarifa juu ya hilo jamani anijuze tafadhali.
 
Ndo maana naipenda Man U na washabiki wake!!!!!!

1. Timu ni ya kistaarabu na imejijengea heshima kubwa sana duniani, hakuna purukushani kama wale wengne(wanajijua)

2. Mashabiki wanajitambua na kujiheshimu sana....hivi ingekuwa ndo Man U amepigwa hizo 5-1 si pangekuwa hapatoshi leo hapa jamvini?

2. Lakini ona jamvin palivyo tulivu na nauhakika hata mashabiki wa Man U hawajaenda kuleta za kishilawadu kwenye thread yao! Nimejaribu kupitia kwenye thread yao lakin hakuna mashambulizi kama yale ambayo wao huleta hapa jamvini tukifungwa

GLORY GLORY MAN UNITED!!!!
Naked truth
 
Back
Top Bottom