Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Umejitokeza? Haya ngoja mie nijiandee ku-perform CPR na mkoba wangu wa first aid huko karibu kwahio jiachie tu lol.Naam tupo!!..Maure tupe raha!! wanga wameshajaa mapema hii,lol..mnajijua eeh🙂)ha ha
Barca dawa yao tunacheza nao kama tulivyocheza kwenye semi ya 08...!!sina la kuongeza....nasubiri mechi yenu na Barca manake wao ni pasi na magoli na kumuindoa mtu kwenye kinyang'anyiro cha UEFA!
Hivi United wanataka magoli gani???mechi ya kushinda hii hata 4
ikichemka niite....l.o.lmichelle
Unajifanya mbishi ehh?, dawa yako iko jikon...
BJ wa ukweli hana tabia za kusuta...Michelle ni wa Arsenal na Wolves.....lift nimepewa na honi nitapiga na CD nitabadili...vipi leo bundi yuko kwenu nini? manake magoli mliyokosa hata ingekuwa Arsenal yangu ingekuwa nayo 5....l.o.l<p>
Karibu first lady wetu wa ukwel...nakwambia kuna shosti anaitwa Michelle kaomba lift na honi anataka kupiga...apa yupo kubadili CD kwa gar....wa wap hyu?, njoo umsute mama...
ha ha ha ha...kinachowashinda MAN U kufunga ni nini? Inakera sasa!
Muda ni huohuo, huna dstv? Inaonekana hawa Agape wataonyesha kwa wale wenye king'amuzi chao cha ting.
Steele na Fergie inabidi watenge kidau kikubwa kwa huyu mtoto hehehe.. F--- Bayern Munich!!Tushapata mrithi wa VDS....hyu Nuer ni Noumer...aya , wap pop coni?
Heheheeee, vitu vya bure bana!!!!
Simchezo naona man united wanazurula tu uwanjani leo lol.
Mmejitahidi wakuu kushambulia kipa wa schalke noma.
Goli wafunge vipi sasa huoni save za kipa huyo?