Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inabidi tusaidia kwakweli..hivi tatizo letu lipo wapi??
 
Kuna mtu nilimwambia Jana whenever arsenal loose Liverpool loose tote we awes follow their lead jaman Leo ndo nimeamini wewe nafasi ya sita haiuzwi epuka matapel
 
Hapana, hiyo ni mentality za timu ndogo hii game ilitakiwa tushinde tupunguze gap pogba na ibra wapumzike kidogo au wa tokea benchi
Sure mzee kwel pogba ndo alistahili kutoka unamtoa carras el maginifico kabisa unawapa nafasi ya Hull kukuishika midfield unategemea ushinde that's insane my brother mourinho well deserve baba n *** u
 
wory wory man uniiiiiiiiiteeeeeed, wory wory man uniiiiiiiiiteeeeeed....
 
Kocha anapaswa kufanya maamuzi magumu Pogba,Zlatan wamekuwa mzigo kwenye timu wanapaswa kuanza benchi kwa sasa,Rashford hana impact yeyote akicheza winga,Martial ndio best winga tuliye naye anapaswa kuanza
 
Sure mzee kwel pogba ndo alistahili kutoka unamtoa carras el maginifico kabisa unawapa nafasi ya Hull kukuishika midfield unategemea ushinde that's insane my brother mourinho well deserve baba n **** u
Timu ilikuwa inahitaji goal hata Carick angebaki hana impact kwenye kutafuta goli
 
Back
Top Bottom