Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Kibaya zaidi tunapata draw Old TraffordAcha nilale tu draw ya 3 mfululizo naona tumeanza tena na draw zetu.
Kibaya zaidi tunapata draw Old TraffordAcha nilale tu draw ya 3 mfululizo naona tumeanza tena na draw zetu.
Nilijua tuKuwa na amani mkuu, leo Hull city anakufa smoothly
Acha tu.Kibaya zaidi tunapata draw Old Trafford
Average age ya timu ni 26.5; not bad kwa EPL team...Na umri nao unatuangusha wachezajji wengi wako around 30yrs +
Tatizo ni Mou wala age si tatizoNa umri nao unatuangusha wachezajji wengi wako around 30yrs +
Mou kafanyaje?Timu inashindwa kufunga magoli akina Ibra,Rooney wameshazeekaTatizo ni Mou wala age si tatizo
Usisahau n finish top six with our sixth placeKweli wadau...sijui nini kinaendelea dhidi ya dogo Martial! Kuna jambo hakika! He doesn't deserve to be benched...anyways, the boss anafahamu zaidi....
Let's not lose hope...bado tupo kwenye 4 competitions...so chances of ending the season well (winning titles) are still pretty high...let's shrug off today's performance and results, and move on to the next one...
[HASHTAG]#gloryglorymanunited[/HASHTAG]
Why anamng'ang'ania Zlatan wakati ana Martial anaoza bench, mchawi wetu ni MouMou kafanyaje?Timu inashindwa kufunga magoli akina Ibra,Rooney wameshazeeka
Hii timu inatatizo kubwa sana kwenye ushambuliaji, bila kufanyia kazi hilo ni ngumu sana kuingia top four...... midfielders wetu wapo taratibu sana
Kweli wadau...sijui nini kinaendelea dhidi ya dogo Martial! Kuna jambo hakika! He doesn't deserve to be benched...anyways, the boss anafahamu zaidi....
Let's not lose hope...bado tupo kwenye 4 competitions...so chances of ending the season well (winning titles) are still pretty high...let's shrug off today's performance and results, and move on to the next one...
[HASHTAG]#gloryglorymanunited[/HASHTAG]
Mata kwa kukosa magoli ya wazi hana mpinzani!
Kuna mtu nilimwambia Jana whenever arsenal loose Liverpool loose tote we awes follow their lead jaman Leo ndo nimeamini wewe nafasi ya sita haiuzwi epuka matapel
Mou hajaacha kulalamika aisee
Acha nilale tu draw ya 3 mfululizo naona tumeanza tena na draw zetu.