Angry Mourinho walks out of BBC interviewWhy anamng'ang'ania Zlatan wakati ana Martial anaoza bench, mchawi wetu ni Mou
Hii kitu nilitegemea kocha kaanza kujichanganya kwa martial
Pogba ni icon ya team lazima acheze ni biashara hiyoAnanikera sana kwenye suala la martial wakat pogba pamoja na kuvulunda hampi bench wala kumpa mkwara
Nikichek hii ratiba game 6 zijazo, hakuna shaka yoyote Mn United itakua ndani ya top 3 hakuna namna..
Chelsea..
Chelsea v Hull
Liverpool v Chelsea
Chelsea v Arsenl
Bunley v Chelsea
Chelsea v Swnsea
West Ham v Chelsea
LIVERPOOL...
Liver v Swansea
Liver v Chelsea
Hull v Liver
Liver v Spurs
Leicester v Liver
Liverpool v Arsenal
MAN UUTD...
Stoke v Man Utd
Man Utd v Hull
Leicester v Man Utd
Man Utd v Watford
Man City v Man Utd
Man Utd v Middlesbro
Tottenham...
Man Ct v Spurs
Sunderland v Spurs
Spurs v Middlesbro
Liverpool v Spurs
Spurs v Stoke
Spurs v Everton
ARSENAL
Arsnl v Bunley
Arsnl v Watford
Chelsea v Arsenl
Arsnl v Hull
Arsnal v Southampton
Liverpool v Arsenal
MAN CITY
Mn Ct v Spurs
West ham v Man Ct
Mn Ct v Swansea
Bournemouth v City
Mn City v Man United
Sunderland v Mn Ct
Baada ya mechi 6 hizi, kuna Watu lazima watupishe2 pale juu, sina haja ya kuwataja wenyewe wanajua hilo..
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
By dullahzemm
Why anamng'ang'ania Zlatan wakati ana Martial anaoza bench, mchawi wetu ni Mou
hiki kifaa ndiyo majibu ya ukame wa magoli jinsi nionavyo...............Manchester United close in on £85m Antoine Griezmann deal, say reports
• Reports in France claim Atlético Madrid forward has agreed personal terms
• Clubs yet to agree fee, with Griezmann’s release clause set at €100m
![]()
Atlético Madrid’s Antoine Griezmann has reportedly agreed personal terms with Manchester United. Photograph: Eloy Alonso/Reuters
Thursday 2 February 2017 00.07 GMT Last modified on Thursday 2 February 2017 00.50 GMT
Manchester United are closing in on the signing of Atlético Madrid’s Antoine Griezmann, with the forward to join in the summer window, according to reports in France.
The 25-year-old is wanted by José Mourinho to bolster a forward line in which only Zlatan Ibrahimovic has proved a success this term, the Swede having scored 19 goals. If United do sign Griezmann he may become the world’s second most expensive player, as he has a €100m (£85.5m) release clause in his contract, with Paul Pogba’s £92.5m fee when joining United last summer the record.
On Wednesday night Canal Plus, a French TV station, claimed Griezmann has agreed personal terms with United and may earn as much as Pogba’s £17.7m a year, salary though the club have yet to agree a fee with Atlético for a player contracted until 2021.
Mkuu nakusalimia tuGlory Glory Man Utd, point 3 ni muhimu sana leo.
hiki kifaa ndiyo majibu ya ukame wa magoli jinsi nionavyo...............
Yajayo ni mazito zaidi kuliko hayaKikiiii!!! Whats wrong![]()
![]()
..... anyway ndo soka tugange yajayooo!!!
pogba ni kuwasafishia washambuliaji wafunge na martial na wenzie butu hadi saa hii ndiyomaana hatutashinda ligi musimu huu..........................umaliziaji hauridhishiSio kwa Pogba kuwa pale kati!
Huyo dogo mtampoteza mkuu, nikirudisha kumbukumbu nyuma naona kama kilichotokea kwa De Bruyne ndio kitatokea kwa Martial, time will tell.Martial msimu ujao tutampoteza
Itaniuma sana kwa dogo kuondoka
hiki kifaa ndiyo majibu ya ukame wa magoli jinsi nionavyo...............
hiki kifaa ndiyo majibu ya ukame wa magoli jinsi nionavyo...............