Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Ata game ya Liverpool na City za leo wameongeza hizohizo dakika, Na hii game kwavyovyote vile wale stoke city walikuwa awana ubavu wa kutoka na points zote 3 so ata wangeongeza dk 1 basi baba kai angewaeka dk ya 90Lazima mtoe pongezi kwa 4th official aliyeongeza dakika 5 za ziada. Zilitakiwa kuwa dakika 2 au 2.5 na mngelilia kama watoto wa chekechea.
Kwa hiyo unakiri kwamba leo ilikuwa ni kupigania sare tu na sio kushinda mechi kwa mashetani wekundu?Ata game ya Liverpool na City za leo wameongeza hizohizo dakika, Na hii game kwavyovyote vile wale stoke city walikuwa awana ubavu wa kutoka na points zote 3 so ata wangeongeza dk 1 basi baba kai angewaeka dk ya 90
hii kauli sijui kama umeitoa kama mzazi ama kama teja tu ambae hategemei kuwa na familia hapo mbeleni, hakuna mzazi ambae anapenda kumwona mwanae wa kiume yupo hvyo.
please ushabiki usikufanye mpaka ukakutoa kuwa mzazi ambae anapenda kuona mema kwa watoto wake.
chunga kauli.
Tatizo Msimu Huu Aliyewaroga Katumia Nyota Ya Jogoo! Na Ndiyomana Liver Akiharibu na Nyinyi Munaharibu..... Mechi ijayo Munashinda Coz Liver Atamfunga Chelsea.....
Liver Hufungwa na Vibonde sio Wale Wanaojiita Big Teams Kama Chelsea! Prove Me Wrong....
Target zetu ilikuwa ni kushinda game ila kufungwa kabisa na viazi kama stoke hapana.Kwa hiyo unakiri kwamba leo ilikuwa ni kupigania sare tu na sio kushinda mechi kwa mashetani wekundu?
Britannia ni pagumu kwa kila timu inayoenda kucheza paleTarget zetu ilikuwa ni kushinda game ila kufungwa kabisa na viazi kama stoke hapana.
Loserfoool
Nahitaji kujua man u katoka au bado kangania pale paleTatizo ulaya ila kwa hapa nyumbani mimi na weye chama moja jangwani
Timu "viazi"? Uliza Liverpool wametendwa nini na Swansea?Target zetu ilikuwa ni kushinda game ila kufungwa kabisa na viazi kama stoke hapana.
Endleeeni kuchonga ngenga
Hahhahah...usiwakumbushe mkuu wnaugulia sindano tatu safiTimu "viazi"? Uliza Liverpool wametendwa nini na Swansea?
Mimi pia nasikia kama wewe kwamba " ... refa aliyechezesha haipendi man u na hampendi morinho". Na ndio sababu refa akatoa free kick badala ya penalty. Ile ilikuwa ni penalty kweli kweli. kwii kwiiii, khe kheeeeeeIla nasikia refa aliyechezesha haipendi man u na hampend morinho
Hahhahah...usiwakumbushe mkuu wnaugulia sindano tatu safi
Kwaio wanasikilizia maumivu
kuna mahal nilikua jamaa wanaume wazima wanashangilia wakajua tushafungwa na mpira unaisha..wanakata miuno
watu tumekaa kimya tu ....rooney alipoweka mpira akaonyesha kaishara flan kwa ibra kadabra ...kitu kikanyooshwa....wavuni!!
Ila nasikia refa aliyechezesha haipendi man u na hampend morinho
Kwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..Mimi pia nasikia kama wewe kwamba " ... refa aliyechezesha haipendi man u na hampendi morinho". Na ndio sababu refa akatoa free kick badala ya penalty. Ile ilikuwa ni penalty kweli kweli. kwii kwiiii, khe kheeeeee
Ninachokiona ni mechi nyingi ambazo Man United wameshafungwa, huongezwa dakika kuanzia 5-8 za nyongeza. Hii inafanyika kimipango au kibahatinasibu?
Ni katika muda huo huwa wanapewa penalty , corners au freekicks za ajabu.Kwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..
Ile ntarudi mwezi mei, bado mapambano yanaendelea, sijakata tamaa bado, kama ni kukata tamaa basi inaweza kua ya ubingwa lakini sio kumaliza juu livapoolNa Ndiyo Mana Nikawa na Full Confidence Pale uliposave Post Yangu Somewhere.....
Wapinzani hua wanafungwa miguu wasicheze mpaka utd ishideKwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..
Toa ushahidi...usiongelee game ya jana.Ni katika muda huo huwa wanapewa penalty , corners au freekicks za ajabu.