Ujio wa José umeleta uhai kidogo hata kwenye suala la biashara, tulikua tunauza wachezaji wetu kwa hela ya maandazi sana,

Buy back clause ni ya msingi sana bado nina imani huyu dgo ana talent tatzo ni altitude na kutojituma.
Since ametua United Jose amebadilika sana,kuna makosa aliyofanya huko nyuma hataki kuyarudia so far amefanya yafuatayo

1.Kuwapa nafasi wachezaji wote kabla hajaamua kuwauza

2.Kuwafuatilia maendeleo ya wachezaji wote walio kwa mkopo

3.Kuuza wachezaji kwa bei nzuri (hii alianza alivyorudi Chelsea)

4.Tactical the way anavyofanya sub na kubadilisha formation kwenye situation tofauti

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Nikikumbuka Van Persie alivyouzwa kwa £4m na tukabakiwa na Rooney pekee yake,siwezi kumsamehw LVG.
 
Since ametua United Jose amebadilika sana,kuna makosa aliyofanya huko nyuma hataki kuyarudia so far amefanya yafuatayo

1.Kuwapa nafasi wachezaji wote kabla hajaamua kuwauza

2.Kuwafuatilia maendeleo ya wachezaji wote walio kwa mkopo

3.Kuuza wachezaji kwa bei nzuri (hii alianza alivyorudi Chelsea)

4.Tactical the way anavyofanya sub na kubadilisha formation kwenye situation tofauti

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app

Ni kweli.
 
Usiwe na Wasi kwa Stoke.... Mark Hughes Ni Wenu Wenyewe Kalelewa na SAF ndani Ya Man U......
Ndani Ya Stoke, Man U Haters ni Wawili tu → Allen na Crouch (Kopites)….

sio lazima kucoment kuna vitu vingine unatakiwa kuwa mstarabu na akili pana alipomfunga van gal pale ot 2-0 hakutambua kuwa yy ni man u? siku hiz timu flani kuifunga timu flani unahitaji wachezaji wanaoichukia timu flani kwa hiyo timu zote zinazoshinda zinachezesha maadui wa timu flan unachekesha sana OWEN KALELEWA NA LIVERPOOL NA BADO KAICHEZEA MAN UNITED UJIONE ULIVYOCHAKA WENZIO HAWAFIKIRII HILO MAWAZO HAYO YAPO BONGO TU

EXCUSES KIBAO
 
Ukishajishaua Fahamu Kuwa Wenzako Wanamalizana Kabisa Timu Kubwa Wao Kwa Wao! Baadae Unabakia Peke Yako Uliebakisha Na Mechi Kubwa! Hapo Ndiyo Utakapoona Disavantage Ya Unachokifurahia.... Kwani hao Uliiwaanika Hapo Juu (Chelsea, Spurs, Arsenal na Man City) na Wewe Wote Utacheza nao.. Na usijeukajisifu Kuwa Wote Utawafunga Kama ulivyojisifu Utampiga nyingi Liverpool

hajajishaua hayo maono yake kila mmoja anaiombea timu yake mazur....

sijaona kosa la jamaa kwamba alisema liverpool watafungwa nyingi mana nnachojua ni kelele za ushabiki sitegemei kusikia jamaa akisema manchester united itafungwa nyingi tena kwenye jukwaa lake

nazikumbuka sana coment zako humu ulikuwa unakuja mara mbili mbili mechi ya kwanza kwamba manchester united atakufa nyingi sana anfield mara ooohhh mnakuja geto mara oooo mpira bana timu inaweza kuwa nzur miez miwili halafu mech 3 inakuwa underdog huo ndo mpira lazima tambwe ziwepo leo city kawa underdog kwa spurs lakin september ilikuwaje?
 
Manchester United have returned to the top of the Deloitte Football Money League for the first time in 11 years after recording the highest annual revenue for a football club in history.

United's record revenue for the 2015/16 season of £515.3m sees them leapfrog Spanish giants Barcelona (£463.8m) and Real Madrid (£463.8m), who sit second and third respectively.

Man United top Deloitte Money League ahead of Barcelona and Real Madrid
 
hapo hakuna kushiriki uefa champions ligi misimu mitatu ed anaijua biashara aangalie na uwanjani sasa

naona mourinho ni kicheko tu atajenga timu yenye nguvu sana pesa ipo kasajili wachezaji wa nne wote wamefanya poa kwa kujenga timu sina waswas nae
 
15978051_395056777541394_2847517371562800636_n.jpg
 
walioandaa hii kitu kidogo wasahaulifu mana liverpool aliwafumua wote hao wawili wa juu mwingine kwake angekuwa mwepes mngeshinda hapo hajafungwa ndo utajua UKUBWA WA UNITED ndroo tu mmehuzunika

mashabiki wanaoiombea mabaya united naona wanabif na pogba mana pogba sio manchester united kwamba hii timu ilikuwepo kabla ya pogba najua wengi wanaumia kuona jamaa yupo ot!!!

chuki inazid huku unasikia kibiashara anaongoza duniani kipesa ktk vilabu vyote duniani
 
Back
Top Bottom