Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,026
- 3,231
TBT.. 24th October 2010.. stoke city 1 Man utd 2.. Goli la dakika 86 lililofungwa na javier hernandez Chicharito akiunganisha cross safi ikitokea kwa wayne rooney, ilikua acrobatic header safi kabisa akifunga kwa kisogo..
Miaka kadhaa baadae anakuja kuuzwa kwa bei sawa na bure.. Dah!!!.. kwel LVG pumzika baba
Miaka kadhaa baadae anakuja kuuzwa kwa bei sawa na bure.. Dah!!!.. kwel LVG pumzika baba